Saturday, March 12, 2011

WAHARIRI WA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI






wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari katika picha kushoto ISSA MBURA a.k.aMPARE,anayefuata ni EDITHA MAJURA-mwananchi com,BETTY TESHA-Tbc,MJENGWA,DEO MUSHI-Daily news na wengineo jana siku ya tano na ya mwisho ya mafunzo ya mtandao wa internet kwa wahariri wa vyombo vya habari hapa nchini yaliyoandaliwa na MISA-TAN kwa ushirikiano na VIKES FINLAND.na mwalimu PEIK JOHANSON kutoka YLE.

Friday, March 11, 2011

BURIANI JOHN LUANDA




MTANGAZAJI WA ZAMANI WA RADIO TANZANIA DAR ES SALAAM -RTD MAREHEMU
JOHN LUANDA(KWENYE KITI)MWANAE MKUBWA BEDA MSIMBE KULIA PAMOJA NA WADOGO ZAKE KATIKA PIICHA AMBAYO MWENYEWE AKIWA HOSPITALI ALISEMA APIGWE  PICHA BILA KUJUA KWAMBA HIYO NDIYO PICHA YAKE YA MWISHO.

MTANGAZAJI HUYO ALIFARIKI JANA KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI ,ALIPOKUWA AMELAZWA AKISUMBULIWA NA KISUKARI HUKU AKIFANYIWA UCHUNGUZI WA KANSA YA KIBOFU CHA MKOJO.

MAREHEMU LUANDA ALISTAAFU KAZI HIYO MWANZONI MWA MIAKA YA 1990.

MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI AMINA.

SURVIVAL SISTERS WAUKWAA

KUNDI LA VIJANA MACHACHARI WA MUZIKI WA BONGO FLAVA WENYE ULEMAVU WAUKWAA BAADA YA KUPATA ZAWADI YA BAJAJI KILA MMOJA KAMA WALIVYO AHIDIWA NA MH.RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA JAKAYA M.KIKWETE.


BAJAJI HIZO MBILI ZENYE THAMANI YA SH. MILIONI 9.5 ZILITOLEWA JANA A MNIKULU MKUU KWA NIABA YA RAIS JAKAYA KIKKWETE IKIWA NI UTEKELEZAJI WAOMBI LA WASANII HAO WALILOMPELEKEA.



LATIFA ABDALA AKIJARIBU BAJAJI ALIYOPEWA.


IRENE MLEKELA NAYE AKIJARIBU KUENDESHA BAJAJI.

8888888888888888888888888888888888888888888888888888888888888

HII NI MOJA YA CHANGAMOTO KWA VIJANA HUSUSANI WENYE ULEMAVU KUTOKATA TAMAA KWANI KWA JITIHADA WANAWEZA.

NI AIBU KWA VIJANA AMBAO WANA MIKONO NA MIGUU NA HAWANA ULEMAVU WA AINA YOYOTE LAKINI BADO HAWATAKI KUJISHUGHULISHA MATOKEO YAKE WANASHINDA VIJIWENI MCHANA KUTWA.

Wednesday, March 9, 2011


VIJANA NA AJIRA

KONA YA VIJANA NI KIPINDI KINACHOHUSU VIJANA TUKIANGAZIA SHUGHULI WANAZOFANYA,AJIRA NA CHANGAMOTO MBALIMBALI WANAZOKUMBANA NAZO KATIKA MAISHA.

*NIMEWAHI KUANGAZIA VIJANA WANAOTUMIA MADAWA YA KULEVYA NA ATHARI WANAZOZIPATA KATIKA MAENDELE YA KIUCHUMI,KIMAZINGIRA NA HATA KIPATO.

*AKINA DADA WANAOFANYA KAZI ZA KUUZA BAA NA CHANGAMOTO WANAZOKABILIANA NAZO.

*AJIRA YA PIKIPIKI NA KASI YA AJALI ZINAZOANGAMIZA ASILIMIA KUBWA YA VIJANA HAPA NCHINI.