Friday, March 11, 2011

SURVIVAL SISTERS WAUKWAA

KUNDI LA VIJANA MACHACHARI WA MUZIKI WA BONGO FLAVA WENYE ULEMAVU WAUKWAA BAADA YA KUPATA ZAWADI YA BAJAJI KILA MMOJA KAMA WALIVYO AHIDIWA NA MH.RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA JAKAYA M.KIKWETE.


BAJAJI HIZO MBILI ZENYE THAMANI YA SH. MILIONI 9.5 ZILITOLEWA JANA A MNIKULU MKUU KWA NIABA YA RAIS JAKAYA KIKKWETE IKIWA NI UTEKELEZAJI WAOMBI LA WASANII HAO WALILOMPELEKEA.



LATIFA ABDALA AKIJARIBU BAJAJI ALIYOPEWA.


IRENE MLEKELA NAYE AKIJARIBU KUENDESHA BAJAJI.

8888888888888888888888888888888888888888888888888888888888888

HII NI MOJA YA CHANGAMOTO KWA VIJANA HUSUSANI WENYE ULEMAVU KUTOKATA TAMAA KWANI KWA JITIHADA WANAWEZA.

NI AIBU KWA VIJANA AMBAO WANA MIKONO NA MIGUU NA HAWANA ULEMAVU WA AINA YOYOTE LAKINI BADO HAWATAKI KUJISHUGHULISHA MATOKEO YAKE WANASHINDA VIJIWENI MCHANA KUTWA.

No comments:

Post a Comment